Pages

Sunday 24 November 2013

cheki vituko hivi

MKE: Mbona unanukia pafyumu ya kike?
MUME: Yaa kuna mwanamke tulikuwa
tumeminyana
ndani ya daladala
MKE: Na lipstiki kwenye shati?
MUME: Tulikumbatiana na wageni toka
Zambia
walitembelea ofisi yetu
MKE: Na ile kondom iliyotumika kwenye
mfuko wa
suruali?
MUME: Bwana ee acha maswali ya kijinga
mi nalala
nina usingizi
MKE: Lazima niulize mie huwa nahakikisha
nimeacha kila kitu hukohuko ndio narudi
nyumbani
MUME: Umesema nini wewe?
MKE: Bwana ee acha maswali ya kijinga mi
nalala
nina usingizche

No comments:

Post a Comment